Wimbo wa Maombolezo : WAKINA MAMA CHOIR AIC KAHAMA - KILA JAMBO
الجمعة, مارس 26, 2021
Kwaya ya Wakina Mama 'Wakina Mama Choir AIC Kahama' imeungana na Watanzania kuomboleza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kwa wimbo walioupa jina la Kila Jambo... Tazama Video Hapa chini
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin