Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : NYUMBU MJANJA - PEKE YANGU II


Msanii Nyumbu Mjanja kutoka Shinyanga ameachia wimbo mpya unaitwa Peke Yangu II /Peke Yangu season 2.....

Nyumbu Mjanja ni mtumishi wa serikali na bado anakitumia kipaji chake kuelimisha jamii. Moja ya mstari wenye ujumbe katika wimbo huu kasema "Iwafikie wale wazazi vilaza maandazi wasiotunza watoto"  
Tazama Video Hapa chini kisha sambaza wimbo huu

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com