Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : RAIS SAMIA ALIVYOTINGA BUNGENI NA KUHUTUBIA BUNGE LA TANZANIA LEO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameongozana na Spika wa Bunge Job Yustino Ndugai wakati akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kulihutubia Bunge hilo la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Wabunge wakipiga makofi wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipowasili ndani ya ukumbi wa Bunge leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akilihutubia Bunge la 12 na kuelezea Muelekeo wa Serikali ya Awamu ya Sita leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma

Wabunge wakishangilia wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alipokuwa akiwahutubia leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa ameketi Bungeni mara baada ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassanakiwa amesimama kabla ya Wimbo wa Taifa haujaanza kupigwa mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride La Heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi nchini mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Bunge kwa ajili ya kulihutubia Bunge la 12 leo tarehe 22 Aprili, 2021 Jijini Dodoma.

PICHA NA IKULU

Tazama picha zaidi hapa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com