Picha : RAIS NA AMIRI JESHI MKUU SAMIA SULUHU HASSAN ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ
Saturday, April 17, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride Maalumu lililoandaliwa na Maafisa Wanafunzi 143 kundi la 01/17 kabla ya kuwatunuku Kamisheni katika hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Aprili, 2021. PICHA NA IKULU
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin