Kampuni ya
Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd imeshiriki Maonesho ya
Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania
iliyopo chini ya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama mkoani
Shinyanga.
Akizungumza
leo Mei 26,2021 kwenye maonesho hayo yanayofanyika katika Kituo cha Uwezeshaji
Wananchi Kiuchumi Nyihogo Kahama, Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service
and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew amesema wameshiriki maonesho hayo kwa ajili ya kutangaza Kampuni
yao.
“Tumekuja
kutangaza Kampuni yetu ya Asfa Hose Service and Maintenance Support yenye makao
makuu Mjini Kahama mkoani Shinyanga na
matawi yake Tabora na Mwanza na kutoa elimu kuhusu huduma tunazotoa”,amesema.
Amesema
lengo jingine la kushiriki maonesho hayo ni Kuibua fursa mbalimbali
zinazojitokeza kwa wajasiriamali walioshiriki maonesho na kutanua wigo wa
mawasiliano (Connection) kwa wadau mbalimbali,kujifunza na kuongeza maarifa
kupitia washiriki wa maonesho.
Amefafanua
kuwa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd inajihusisha na
kubana hose pipe,kuuza vipuli vya mitambo,mashine na magari,kuuza vifaa vya
kujikinga na hatari kazini (PPE),kuuza Filters za aina zote,ufundi wa
kutengeneza mitambo mikubwa migodini, Pampu aina zote na magari.
“Hali
kadhalika tunajihusisha na kuchomelea na kuunganisha mitambo na kuagiza magari
mapya kutoka nje ya nchi, kukodisha mashine kama Crane, Fork lift, Excavator,
Dozer,Grader,Rolla”,ameeleza Mathew.
Ameongeza
kuwa Asfa Hose pia wanajihusisha na utoaji elimu kwa wachimbaji wadogo na jamii
kuhusu umuhimu wa kutumia vifaa vya kujikinga na hatari kazini (PPE), usalama
kazini na utunzaji mazingira pamoja na masuala
ya Burudani ikiwemo kuandaa Matamasha ya michezo na muziki.
Huduma
zinazotolewa kwenye Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd ni
Line Boring, Civil Work, Machine Hire, Supply of PPE, Industrial Filters, Supply
of Spare Parts, Welding and Fabrications, Hydraulic Hose Assembly and repair, Maintenance
and service contracts.
Kampuni ya
Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd inapatikana maeneo ya Asilimia
Mia karibu na Front Oil Kahama. Mawasiliano yao ni 0715859321 au 0755067193 au
0767566233 au 0744446970 au Email : info@asfahoseservice.com
Website : www.asfahoseservice.com
na kwenye mitandao ya kijamii (Facebook, Twitter, Instagram, Youtube @asfahoseservice
ANGALIA PICHA HAPA CHINI
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha safety helmet kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha safety ear muff kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha dust mask kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha safety boot kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha hose reel kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha mashine ya kuchonga trade kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha filter aina ya Komatsu kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha water pump kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew akionesha Air greese pump kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Afisa Masoko na mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Gabriel Mathew na salma Msangi wakionesha Fitting na Ferule kwa ajili ya kuunganisha hose pipe kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha vest reflactor kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha Diaphragm pump kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha Front Light kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha tie belt kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi akionesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, wakionyesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu na Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi na Gabriel Mathew wakionesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama
Mhasibu na Afisa Masoko wa Kampuni ya Asfa Hose Service and Maintenance Support Ltd, Salma Msangi na Gabriel Mathew wakionesha bidhaa mbalimbali kwenye maonesho ya wajasiriamali na wawekezaji Kahama.
Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Soma pia:
Social Plugin