NAFASI YA KAZI COCU DELICIOUS FOOD
COCU
FOOD.
Inajishughulisha na shughuli zote zinazohusu uandaaji na usambazaji wa vyakula,
vinywaji baridi, matunda na vitafunwa.
AFISA
MASOKO
Aina ya kazi: Afisa masoko (nafasi 1)
KAZI
ZAKE NI KUTAFUTA WATEJA WA CHAKULA
Ø Mteja mmoja mmoja
Ø Wateja wa kwenye maofisi na maduka ya rejareja
Ø Wateja wanaohitaji chakula kwenye mikutano,
sherehe mbalimbali za kiserikali na kijamii na misiba
Ø Kusambaza na kuhakikisha chakula
kinamfikia mlaji kikiwa safi na salama.
ENEO LA KAZI: Shinyanga Mjini
TAALUMA
NA UZOEFU
Ø Awe
amesomea masoko ngazi ya cheti
Ø Awe
anajua Kiswahili na Kiingereza vizuri (kuongea na kuandika)
Ø Awe
ana ujuzi wa kutumia computer Microsoft word na excel
Ø Awe
na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika shughuli za masoko
Ø Awe
mkazi wa Shinyanga mjini
MSHAHARA
Makubaliano
UMRI
Kuanzia miaka 18 hadi 40
Muhimu
Maombi ya kazi yatumwe kwa barua na CV kupitia; email:cocufood52@gmail.com
MWISHO
WA KUTUMA MAOMBI:27/05/2021.
Social Plugin