BAKWATA YATANGAZA SIKUKUU YA EID EL-FITR KUFANYIKA MEI 13 AU MEI 14, 2021
الأربعاء, مايو 05, 2021
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limetangaza kuwa sikukuu ya Eid- El Fitr itakuwa tarehe 13 au 14 mwezi huu kutegemeana na kuandama kwa mwezi.
Sherehe za Eid El-Fitr kitaifa kwa mwaka huu zitafanyika mkoani Dar es salaam, ambapo Swala itaswaliwa katika viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 1:30 asubuhi.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin