Ngoma Mpya : JIBHELA NGELELA - MASIKITIKO & SUBHI IZENGO
Sunday, May 23, 2021
Ninazo hapa nyimbo mbili za Msanii Jibhela Ngelela ambaye ni Kijana wa Msanii/Manju Maarufu wa Ngoma za asili Ngelela kutoka mkoa wa Shinyanga. Nyimbo za hizi mpya za Jibhela Ngelela ni Subhi Izengo na Masikitiko..zisikilize hapa chini.
Jibhela Ngelela - Masikitiko
Jibhela Ngelela - Subhi Izengo
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin