Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

SHAMU CAKES YASHIRIKI MAONESHO YA WAJASIRIAMALI NA WAWEKEZAJI KAHAMA

Kampuni ya Shamu Cakes inayojihusisha na Utengenezaji wa Keki aina mbalimbali za keki yenye makao makuu yake Mjini Kahama inashiriki katika Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama yaliyoandaliwa na Taasisi ya GS1 Tanzania kupitia Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi Kahama ambayo yameanza leo Jumatatu Mei 24,2021 yatafikia tamati Mei 30,2021 katika viwanja vya Kituo cha Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi kilichopo Nyihogo Mjini Kahama yakiongozwa na kauli mbiu ya ‘Nunua bidhaa za Kitanzania kuza uchumi wa nchi’.

Shamucakes inawakaribisha wateja na wananchi kujionea na kununua bidhaa za Shamu cakes
Muonekano wa Keki za Shamucakes zikiwa kwenye banda katika Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama
Shamucakes akionesha Keki kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama
Shamucakes akionesha Keki kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama
Shamucakes akionesha Keki kwenye Maonesho ya Wajasiriamali na Wawekezaji Kahama

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com