SHAKA HAMDU SHAKA AKABIDHIWA RASMI OFISI YA IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
Sunday, May 23, 2021
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Itikadi na Uenezi ndg Shaka Hamdu Shaka akabidhiwa ofisi ya Idara ya Itikadi na Uenezi na ndg Humphrey Polepole (MB), leo tarehe 23 Mei 2021 Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin