Mhandisi
Migodi kutoka Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Peter Maha ameibuka
mfanyakazi bora na kujinyakulia kitita cha shilingi milioni moja kwenye maadhimisho ya
siku ya wafanyakazi duniani Mei Mosi 2021 yaliyofanyika kitaifa katika uwanja wa CCM
Kirumba Wilaya Ilemela mkoani Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Maadhimisho ya Mei Mosi 2021
Social Plugin