Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA MJUMBE MAALUMU WA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA KATIKA UKANDA WA MAZIWA MAKUU BALOZI Xia Huang JIJINI NAIROBI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Balozi Xia Huang Jijini Nairobi leo tarehe 05 Mei, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Ukanda wa Maziwa Makuu Mhe. Balozi Xia Huang Jijini Nairobileo tarehe 05 Mei, 2021.



 

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com