Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS WA UGANDA, YOWERI MUSEVENI KUFANYA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA TANZANIA


Rais wa Uganda, Mhe. Museveni leo Mei 20, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini.

Akiwa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa mikataba ya bomba la mafuta la Hoima - Tanga kati ya Tanzania na kampuni za uwekezaji katika mradi huo.


Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com