Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AMTEUA ALIYEKUWA KATIBU MKUU CHADEMA DKT. VICENT MASHINJI KUWA DC SERENGETI, MWANASHERIA ACT WAZALENDO ALBERT MSANDO DC MOROGORO

   

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Jumamosi Juni 19,2021 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Wilayanchini ambapo amewabadilisha vituo vya kazi baadhi, ameingiza sura mpya na kuwarudisha waliowahi kushika nafasi hizo.

Katika uteuzi huo ,Rais Samia amewateua pia waliokuwa viongozi wa upinzani wakahamia CCM. Wateule hao ni pamoja na aliyekuwa katibu mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji (Serengeti), aliyekuwa meya wa Arusha, Kalist Lazaro (Lushoto), aliyekuwa mwanasheria wa ACT Wazalendo, Albert Msando (Morogoro).

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com