Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ametengua uteuzi wa Mkurugenzi mtendaji wa maji safi na usafi wa mazingira wilayani Sengerema mkoani Mwanza, Robert Lupoja kisha kumteua Sadala Hamis kushika nafasi hiyo.
Aweso pia ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Sengerema huku taratibu nyingine zikiendelea kufanyiwa kazi.
Social Plugin