Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere amemtembelea Mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania, awamu ya Tano, Mama Janeth Magufuli, nyumbani kwake jijni Dar es salaam leo. Mama Maria, aliyeongozana na mjukuu wake Bhoke Nyerere, alimkabidhi Mama Janeth Kitenge alipofika nyumbani hapo.
Social Plugin