RAIS SAMIA AMUAPISHA BALOZI BATILDA KUWA RC TABORA, ZUWENA RAS SHINYANGA
Monday, June 21, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amewaapisha Balozi Batilda Salha Buriani Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora na Zuwena Omari Jiri kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 21 Juni, 2021
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin