Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, 16-23 JUNI, 2021 TUME YA UTUMISHI WA UMMA

Baadhi ya Maafisa wa Tume ya Utumishi wa Umma, kutoka kushoto Bw. Clement Pallangyo; Bibi Agness Kapfunsi; Bw. Amas Mahagala; Bibi Florence Kazuva; Bibi Saada Ibrahim; Bw. Robert Lwanji; Bibi Elizabeth Mabula na Bw. Richard Cheyo, katika picha ya pamoja leo, baada ya kuwahudumia Watumishi na wadau waliofika katika Ofisi ya Tume iliyopo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam, katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa mwaka 2021.

(Picha na Ahmad Michuzi- michuzi blog)

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com