CCM YAMTEUA KALIMA KUWA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA WAZAZI TANZANIA, DKT. PHILIPE NYIMBI KATIBU MKUU UWT
Thursday, July 29, 2021
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Daniel Chongolo baada ya kuongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM kilichokutana leo Julai 29,2021 Ikulu jijini Dar es salaam. IKULU
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin