TAZAMA HAPA ORODHA YA VITUO VYA KUTOLEA CHANJO YA CORONA KATIKA MIKOA YOTE TANZANIA
Saturday, July 31, 2021
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Prof.Abel Makubi akionesha chanjo aina ya Jonson Jonson kwa Wana habari.
**
Baada ya taasisi tano zilizo chini ya wizara ya afya kufanya uchunguzi na kujiridhisha kuwa chanjo za Johnson & Johnson ni salama kutumika kwa Watanzania, zimeanza kusafirishwa katika mikoa 26 kwa ajili ya makundi matatu yaliyopewa kipaumbele wakiwemo watoa huduma za afya, wazee na wenye magonjwa sugu.
Social Plugin