Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited (EASTL) imetumia fursa ya Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga kuonesha bidhaa inazozizalisha vikiwemo vinywaji vilivyojizolea umaarufu Hanson's Choice na Diamond Rock.
Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yanayoongozwa na kauli mbiu “Uwekezaji wa Madini na Viwanda Shinyanga kwa Uchumi Endelevu” yameanza tarehe 23 Julai, yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Agosti, 2021 katika uwanja wa Zainab Telack kijiji cha Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Wafanyakazi wa Kampuni ya Uzalishaji Vinywaji Vikali ya East African Spirits (T) Limited, Mary Benard (kushoto), Jackson David na Jackline Malogoi (kulia) wakionesha vinywaji vikali vya Hanson's Choice na Diamond Rock kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga

Hanson's Choice!!
Diamond Rock!!
Social Plugin