Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akielezea kuhusu mafuta ya alizeti kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Julai 28,2021.
Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yanayoongozwa na kauli mbiu “Uwekezaji wa Madini na Viwanda Shinyanga kwa Uchumi Endelevu” yameanza tarehe 23 Julai, yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Agosti, 2021 katika uwanja wa Zainab Telack kijiji cha Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akionesha mafuta ya alizeti kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Julai 28,2021.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akionesha mafuta ya pama kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Mfanyakazi wa Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba, Neema Elias akionesha mafuta ya alizeti ya lita moja kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Mafuta ya alizeti yanayotengenezwa na Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba yakiwa kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Mafuta ya pamba yanayotengenezwa na Kampuni ya Gilitu Enterprises Ltd ya Mjini Shinyanga inayojihusisha na Utengenezaji na Uuzaji mafuta ya kupikia ya alizeti na pamba yakiwa kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga leo Julai 28,2021.
Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Social Plugin