TANGAZO
Kampuni ya Jambo Food Products ya Mjini Shinyanga
INATANGAZA KUWA KWASASA WAMEANZA KUNUNUA MANANASI,MACHUNGWA,UKWAJU NA UBUYU.
EWE MTEJA FIKA KIWANDANI MJINI SHINYANGA ILI UPATE MKATABA NA MWONGOZO KAMILI WA KUPELEKA MATUNDA.
KUMBUKA USILETE MATUNDA KABLA HUJAFIKA OFISINI NA KUPEWA MKATABA KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU NAMBA 0622666692 au 0622666693.
Chagua kufanya kazi Nasi,Jambo Food Products JAMUKAYA....
Social Plugin