Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

KOM GROUP OF COMPANIES YANOGESHA MAONESHO YA BIASHARA NA TEKNOLOJIA YA MADINI SHINYANGA...TAZAMA HAPA BIDHAA WANAZOZALISHA


Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama imeshiriki Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga kwa kuonesha shughuli mbalimbali wanazofanya ikiwa ni pamoja na uzalishaji wa mafuta ya kupikia ya pamba ,kusafisha pamba na uzalishaji wa mabomba (UPVC Pipe na HDPE pipe), Square pipe na rounde pipe, uzalishaji wa viungo vya bomba viti,madiaba, magaloni,ndoo za plastiki na meza za plastiki (round table).

Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yanayoongozwa na kauli mbiu “Uwekezaji wa Madini na Viwanda Shinyanga kwa Uchumi Endelevu” yameanza tarehe 23 Julai, yanatarajiwa kuhitimishwa tarehe 1 Agosti, 2021 katika uwanja wa Zainab Telack kijiji cha Butulwa kata ya Old Shinyanga Manispaa ya Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Mtaalamu wa Vitu vya Plastiki na vyuma Mhandisi James John wa Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama akionesha ndoo za plastiki wanazozalisha kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga

Mtaalamu wa Vitu vya Plastiki na vyuma Mhandisi James John wa Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama akionesha mafuta ya pama wanayozalisha kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga
Mtaalamu wa Vitu vya Plastiki na vyuma Mhandisi James John wa Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama akionesha mabeseni na madiaba wanayozalisha kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga
Mtaalamu wa Vitu vya Plastiki na vyuma Mhandisi James John wa Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama akionesha mabomba wanayozalisha kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga
Mtaalamu wa Vitu vya Plastiki na vyuma Mhandisi James John wa Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama akionesha vitu mbalimbali wanavyozalisha kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga
Mtaalamu wa Vitu vya Plastiki na vyuma Mhandisi James John wa Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama akionesha kiungo cha bomba kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga
Mtaalamu wa Vitu vya Plastiki na vyuma Mhandisi James John wa Kampuni ya Kahama Oil Mill Group of Companies Limited maarufu KOM Group of Companies ya Mjini Kahama akionesha moja ya magaloni wanayozalisha kwenye Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.


Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com