Kay Jay
Kayjay ni Mwandishi wa nyimbo na mwimbaji kutoka nchini Nigeria ambaye amewahi kuwaandikia wasanii wakubwa kama vile TundeEdnut ('Catching Cold'), Iyanya ('IyanuMashele'), KCEE ('Burn' & 'Psycho'), Naeto C, Kach ('Olo'), Chuddy K ('Nenda chini'), Stunna ('Balance' akishirikiana na Iyanya), Samklef, Tillaman, BimbiPhiliphs (Duro Dada).
Licha ya hivyo Kayjay amefanikiwa kushirikiana na wasanii wengi kama vile Shaydee,skales ,Samklef na wengine.
Lakini kwa sasa ameachia kazi yake mpya ambayo inapatikana katika mitandao kama vile Spotfiy ,Itunes ,Boomplay,Audiomack ,Youtube na kwingine.
Unaweza Kusikiliza na kudownload kazi yake "Ordinary Guy" @kayjayogbonna
Social Plugin