Najina naitwa Sharoni naishi katika mkoa wa Dar es salaam wilaya ya Temeke katika mtaa wa Kinesi, katika nyumba yetu tuko watu wa tatu pekee yaani mimi, mume wangu na mtoto wetu aitwaye Junior.
Mimi nafanya
kazi katika Benki moja hapa mjini lakini pia mume wangu ni mfanyakazi wa kampuni
ya kutengeneza magari iitwayo rivelers
car maintance company, na mwanangu Junior
anasoma katika shule ya chekechea St:
Marrys School
Katika maisha
yote tangu nianze kuishi na mume wangu tumekuwa katika hali ya furaha sana
ukizingatia tumekuwa na uwezo wa kutatua shida zetu mbalimbali sisi wenyewe
bila msaada wa mtu yoyote kwani Mungu ametujaalia uwezo wa kifedha.
Siku zilivyozidi
kwenda ndipo kazi za nyumbani zilinizidia na kuamua kumshawishi mume wangu
tutafute dada wa kazi za ndani ambaye pia atakuwa muangalizi wa mtoto wetu
Junior kipindi ambacho sisi tupo kazini, jambo ambalo hata mume wangu aliliunga
mkono kwani nilikua nachoka mno kufanya kazi za kiofisi na nyumbani.
Siku chache
zilipita na nikawasiliana na mama yangu aishiye kijijini mkoani tanga na
kumuomba msaada wa kunitafutia msichana wa kazi mama alilipokea ombi langu na
baada ya siku mbili alinitaarifu kuwa amempata msichana huyo na kilichobaki ni
mimi kutuma pesa kwa ajili ya nauli ya kumsafirisha kutoka tanga hadi dar es
salaam.
Siku hiyo hiyo
nilifanya kama mama alivyoniagiza na kutuma pesa kwa ajili ya nauli ya msichana
wa kazi, kesho yake alifika Dar es salaam na kumuonyesha maeneo ya kazi na
maelezo machache katika maongezi alijitambulisha kuwa anaitwa Mariamu.
Jioni mume wangu
aliporejea kutoka kazini nilimfahamisha kuwa binti yule wa kazi ameshafika na
kumtambulisha pia kwake, mume wangu alipokea utambulisho ule kisha kuingia chumbani
na kupumzika.
Kwa siku chache
nilifahamu kuwa Mariamu alikuwa ni binti shupavu kupitia utendaji wake wa kazi
na mambo mengine jambo ambalo mimi na mume wangu lilitufurahisha sana, maisha
yalisonga na baada ya miezi kadhaa mume wangu alipata likizo kazini kwake hivyo
alikuwa anakaa nyumbani muda mwingi.
Mimi nilikuwa
nikitoka asubuhi sana lakini kabla ya kuondoka nilikuwa namhakikishia mume
wangu anapata na kila kitu, siku zilivyozidi kwenda mume wangu alikuwa akikataa
nisimhudumie asubuhi yaani ile kabla ya kwenda kazini na kusema Mariamu yupo
ataweza kufanya hayo badala yangu na kunisisitiza natakiwa kuwahi kazini.
Sikuwa na wasi wasi na mume wangu na
kutambua kuwa anaelewa umuhimu wa kazi yangu ndiyo maana ameamua kufanya vile,
Siku zilienda na
likizo ya mume wangu iliiisha na akarejea kazini kwake.
Kwa kawaida ilikuwa tunatumia usafiri mmoja
ambapo yeye ananipitisha mimi kazini kwangu kisha anaondoka na kuelekea kazini
kwake ratiba hii ilivunjika baada ya mume wangu kuanza kuchelewa kwenda kazini
na nilipomuuliza alijibu kazi zimepungua kule ofisi kwao hivyo hakukuwa na haja
ya kuwahi sana.
Siku zilienda na
tulipeana zamu ya kupika kati ya mimi na Mariamu (mfanyakazi wangu) yaani yeye
anapika siku zote ila mimi ni siku za Jumamosi na Jumapili yaani wikiendi, siku
moja mume wangu alishauri tumuongezee mshahara mfanyakazi wetu na kusema kuwa
alikuwa akifanya kazi nyingi na kwa usahihi.
Wazo lile
lilinishangaza sana lakini sikupinga kwa kuwa mme wangu aliliona hilo na pia
mshahara wa Mariamu ulikuwa unatoka katika mfuko wake kwahiyo nilikubariana na
mume wangu juu ya suala lile.
Mara chache
nilizokuwa napika yaani zile siku za Jumamosi na Jumapili mume wangu alikuwa
analalamika chakula sio kizuri mara nyingine anasema chakula kina chumvi nyingi
ila siku zingine ambazo alikua anapika mariamu alikua anasifia sana aina ya
upishi ule wa Mariamu.
Hali ambayo
ilinifanya nijitoe kwenye ratiba ya kupika na kumuachia mariamu siku zote apike
yeye, haikuishia hapo mume wangu alianza kumletea zawadi mbali mbali na mara
zingine kumtoa out mariamu wakiwa pamoja na junior ambaye ni mtoto wetu
Sikuona kuwa ni
jambo baya kwa kuwa walikuwa wanatoka out na mtoto wetu junior na nikaacha
maisha yasonge ila kwa hakika mume wangu alianza kubadilika mara kadhaa alikua
anakataa kushiriki na mimi katika tendo la ndoa kwa kisingizio kuwa amechoka na
kazi za siku hiyo.
Siku moja wakati
naelekea kazini kiwa njiani nilishtuka na kugundua kuwa kuna kitu nimesahau na
sio kingine bali ni simu yangu ya mkononi na mara moja niligeuza gari na kurudi
nyumbani nilipofika niliingia moja kwa moja palikua kimya na sauti ya redio
kutokea chumbani kwangu nilifahamu kuwa mume wangu yupo chumbani kwetu na kwa
kuwa kulikuwa kimya basi Mariamu alikuwa kamsindikiza Junior shuleni.
Hivyo niliingia
moja kwa moja mbaka chumbani kwangu, looh! Sikuamini nilichokikuta nilimkuta
mume wangu na mariamu wakivunja amri ya tisa katika kitanda ambacho mimi na mme
wangu tunalalia hapo hapo nilimshika mariamu na kutaka kumpiga ila mume wangu
aliniwahi na kuniafokea na kuniambia hanitaki tena katika nyumba yake.
Niliondoka na
kuelekea kwa rafiki yangu aitwaye Amina nilikuwa kama chizi asiyejua nini afanye
nilipofika kwa amina alifahamu siko sawa na akaniuliza shida yangu, nilimweleza
kilichonisibu na kunipokea nikae kwake kwa siku kadhaa huku tukitafuta njia ya
kutatua tatizo hilo.
Rafiki yangu
Amina alijaribu kuwasiliana na mme wangu ila hakupokea simu kwa kuwa alikuwa
anaifahamu namba ya rafiki yangu huyo. Na hapo ndipo rafiki yangu Amina
aliniambia imebaki njia moja tu ya kumaliza tatizo hilo ambayo kwa kumtaarifu
mtaalamu wa mitishamba aitwaye Dr. Kiwanga na kunipatia namba hii +254
769404965.
Bila kupoteza
muda niliwasiliana na bwana yule na kumweleza shida yangu aliniuliza maswali
machache ikiwemo majina ya mume wangu na jina la mariamu na kunitaarifu kuwa
atanisaidia bila kwenda ofisini kwao kiwangadoctors
nilikata simu.
Baada ya siku mbili nilipigiwa simu na
mume wangu akiniomba msamaha na kuniahidi hatorudia kile alichofanya na kusema
kuwa hata yeye alikuwa hafahamu kwa nini alikua akiyafanya yale, nilimtaarifu
Dk. Kiwanga na akasema kuwa mume wangu alirogwa ili anisahau kabisa mume wangu
alimtimua mariamu na kunifata kwa rafiki angu na kwa sasa tunaishi maisha ya
raha mustarehe na familia yangu.
Katika maongezi na
kiwanga Doctors aliniambia kuwa wanatibu magonjwa sugu kama Sukari, kisonono na
pressure. pia kiwangadoctors wanatatua
shida kama kupata mpenzi wa ndoto Zako, kumfunga mme au mke asiende nje ya ndoa
na mengine mengi wasiliana na kiwangadoctors
kwa namba +254 769404965 , Barua
pepe kiwangadoctors@gmail.com pia unaweza kuwapata kwa website yao www.kiwangadoctors.com.
Social Plugin