Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo Jumamosi Julai 31 asubuhi jijini Dar es Salaam kwa kile kilichoelezwa kuwa alikuwa ameugua muda mrefu.
Mfugale ni miongoni mwa wamiliki wa hoteli wazawa aliyepata mafanikio katika biashara hiyo, akifungua hotel Dar es Salaam na nyingine mkoani Iringa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin