Breaking News : SOKO LA KARIAKOO DAR LINATEKETEA KWA MOTO
Saturday, July 10, 2021
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa, Soko Kuu la Kariakoo lililopo jijini Dar es salaam linaungua moto usiku huu Jumamosi Julai 10,2021 huku jitihada za kuuzima zikiendelea.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ambaye yuko kwenye eneo la tukio amesema moto huo umeanza kuwaka saa 3:30 usiku huu na kwamba chanzo bado hakijafahamika.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin