Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, Sophia Nyerere amefariki dunia leo Jumanne Julai 27, 2021 katika Hospitali ya Mzena, Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya matibabu. Marehemu Sophia ni Mtoto wa John Nyerere.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin