TIC, MANISPAA YA SHINYANGA, BENKI YA CRDB NA SIDO WATOA MAFUNZO KWA WANAFUNZI WA VETA NA WAJASIRIAMALI WANAOSHIRIKI MAONESHO

Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre - TIC) Kanda ya Ziwa Pendo Gondwe akizungumza wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga ambapo amewataka kuchangamkia fursa za Uwekezaji katika Kanda ya Ziwa kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za Kilimo, Madini, Miundombinu, Viwanda, Maliasili, Huduma za Kijamii, Utalii n.k.
 ***

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Ofisi ya Biashara Manispaa ya Shinyanga kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre - TIC) Kanda ya Ziwa, SIDO, Benki ya CRDB na TCCIA mkoa wa Shinyanga wameendesha mafunzo mbalimbali kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.

Mafunzo hayo yamefanyika leo Ijumaa Julai 30,2021 katika uwanja wa Zainab Telack Butulwa Old Shinyanga ambako panafanyika Maonesho ya Pili ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga yenye kauli mbiu “Uwekezaji wa Madini na Viwanda Shinyanga kwa Uchumi Endelevu” kuanzia Julai 23 hadi 1 Agosti, 2021.

Lengo la mafunzo ni kuwapa elimu ya ujasiriamali, elimu ya uwekezaji,huduma zinazotolewa na Benki ya CRDB,namna ya kusajili na kurasimisha biashara zao kupitia TCCIA na Brela,mafunzo yanayotolewa na SIDO na huduma zinazopatikana katika ofisi ya Biashara Manispaa ya Shinyanga ikiwemo utoaji na upatikanaji wa Leseni za biashara.

Tazama picha hapa chini
Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre - TIC) Kanda ya Ziwa Pendo Gondwe akizungumza wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga ambapo amewataka kuchangamkia fursa za Uwekezaji katika Kanda ya Ziwa kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za Kilimo, Madini, Miundombinu, Viwanda, Maliasili, Huduma za Kijamii, Utalii n.k.
Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre - TIC) Kanda ya Ziwa Pendo Gondwe akizungumza wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga ambapo amewataka kuchangamkia fursa za Uwekezaji katika Kanda ya Ziwa kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za Kilimo, Madini, Miundombinu, Viwanda, Maliasili, Huduma za Kijamii, Utalii n.k.
Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre - TIC) Kanda ya Ziwa Pendo Gondwe akizungumza wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga ambapo amewataka kuchangamkia fursa za Uwekezaji katika Kanda ya Ziwa kwenye sekta mbalimbali zikiwemo za Kilimo, Madini, Miundombinu, Viwanda, Maliasili, Huduma za Kijamii, Utalii n.k.
Afisa Biashara wa Manispaa ya Shinyanga, Milembe George (kushoto) akiteta jambo na Meneja wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (Tanzania Investment Centre - TIC) Kanda ya Ziwa Pendo Gondwe
Afisa Biashara wa Manispaa ya Shinyanga, Milembe George akielezea huduma zinazopatikana katika ofisi ya Biashara Manispaa ya Shinyanga ikiwemo utoaji na upatikanaji wa Leseni za biashara wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.

Katibu wa Chemba ya Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) mkoa wa Shinyanga, Marcelina Saulo akielezea namna ya kusajili na kurasimisha biashara zao kupitia TCCIA na Brela wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.

Afisa Mahusiano wa Benki ya CRDB tawi la Shinyanga, Venance Mwakangale akielezea kuhusu Akaunti ya Hodari ambayo haina makato inayotolewa na Benki ya CRDB wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Afisa Mahusiano wa Benki ya CRDB tawi la Shinyanga, Venance Mwakangale akielezea kuhusu Akaunti ya Hodari inayotolewa na Benki ya CRDB wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.
Afisa Uendelezaji wa Biashara SIDO mkoa wa Shinyanga, Joseph Taban akielezea huduma wanazotoa ikiwa ni pamoja na mafunzo kwa wajasiriamali,huduma za fedha na huduma za masoko kwa wajasiriamali na ubunifu na uendelezaji wa teknolojia wakati wa mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga.

Wanafunzi wa Chuo cha Ufundi VETA Shinyanga na wajasiriamali wanaoshiriki maonesho ya Biashara na Teknolojia ya Madini Mkoa wa Shinyanga wakifuatilia mafunzo yakitolewa na maafisa kutoka TIC, Manispaa ya Shinyanga, Benki ya CRDB na SIDO.

Mafunzo yanaendelea

Picha zote na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Previous Post Next Post