DEREVA TEKSI MOUSA TWALEB ALIYETUHUMIWA KUMTEKA MO DEWJI AACHIWA HURU
Monday, July 26, 2021
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imemwachia huru Mousa Twaleb, dereva teksi aliyetuhumiwa kuhusika kumteka mfanyabiashara Mohamed Dewji.
Twaleb ameachiwa baada ya jamhuri kusema haina nia ya kuendelea na kesi hiyo. Dewji alitekwa Oktoba 2018 kwa siku tisa.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin