Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI, WAOMBOLEZAJI KUUAGA MWILI WA MHANDISI MFUGALE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa Heshima za mwisho katika Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa  Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja wa Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa pole kwa familia ya marehemu Patrick Mfugale katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha rambirambi katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa TANROADS Mhandisi Patrick Mfugale katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo tarehe 02 Julai, 2021.





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com