Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wananchi kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini baadala ya kuona vivutio hivyo vipo kwa ajili ya wageni pekee
Ameyasema hayo wakati alipokuwa akizungumza na Washiriki wa mashindano ya mbio za Utalii Marathon Arusha yaliyofanyika jana Jijini Arusha yaliyolenga kuhamasisha Utalii wa ndani has katika kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19 uliotiokisa sekta ya utalii ulimwenguni
Amesema Serikali imejipanga kuhakikisha inahamasisha utalii wa ndani kupitia michezo mbalimbali ili wananchi waanze utamaduni wa kutembelea vivutio vya utalii tulivyojaliwa nao.
''Vivutio vya Utalii tulivyonanvyo ni vyetu sote tembeleeni muone uzuri na upekee wa vivutio vilivyopo nchini.
Katika hatu nyingine, Waziri Dkt. Ndumbaro ametoa wito kwa wadau wengine wa Utalii kuanzisha matukio MENGINE y a michezo itakayohamasisha watalii kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini.
Amesema michezo imkuwa ikipendwa na watu mbalimbali ndani na nje ya nchi hali itakayosaidia kuchochea utamaduni wa watu mbalimbali kutembelea viv ui hivyo
Akizungumza wakati hafla hiyo ya utoaji wa zawadi kwa washindi Mbio za Mashindano, amesema ya utalii inataka kubadilsha mtazamo ili watu wengi waweze kujifunza zaidi Dkt. Ndumbaro
Dt, Ndumbaro aemezitaka sekta binafsi kuhakikisha zinawekeza hasa katika kipindi hikiambachp sekta ya utalii nchii imetikiswa kwa kiasi kikubwa
Dkt, Ndumbaro amesema watalii wa ndani hususani sekta ya utalii ni watu muhimu sana kwa vile kazia binafsi ni kuchakata hoja na kutoa maoni
Social Plugin