Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wasia Mushi akifungua warsha ya mafunzo ya kibiashara kwa wateja wa biashara za kati (SME) wa benki hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mmoja wa washiriki wa warsha akipokea Cheti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wasia Mushi (Kulia)
Mmoja wa washiriki wa warsha akipokea Cheti kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bank of Africa (BOA), Bw.Wa sia Mushi (Kulia)
Washiriki wa warsha katika picha ya pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Bank of Africa (BOA) ,Bw. Wasia Mushi (katikati)
Social Plugin