Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea
Kombe la Ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA U23 kutoka
kwa Nahodha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Vijana U23 Reliant Lusajo leo tarehe
22 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Kombe la Ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati CECAFA U23 kutoka kwa Nahodha msaidizi wa Timu ya Taifa ya Vijana U23 Reliant Lusajo leo tarehe 22 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa
Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wa michezo, Wachezaji wa
Timu ya Taifa ya Vijana U23, Wanariadha walioshiriki michezo ya Olimpiki (Japan)
mara baada ya kupokea Kombe la Ubingwa wa Mashindano ya Afrika Mashariki na Kati
CECAFA U23 leo tarehe 22 Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Wachezaji wa timu ya Taifa ya
Vijana U23 wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wachezaji wa timu ya Taifa ya
Vijana U23 wakiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya Pamoja na Wachezaji wa Timu ya Taifa ya Vijana ya U23 mara baada ya
kukabidhiwa kombe la Ubingwa wa CECAFA U23 Challenge Cup leo tarehe 22
Agosti, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa
Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Innocent Bashungwa pamoja na Rais wa TFF Wallace Karia.
Wachezaji
wa Timu ya Taifa ya U23 wakiwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22
Agosti, 2021. PICHA NA IKULU
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin