Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa kwenye Kituo cha Mitambo ya kusafisha Maji na Kutibu , kutoka Mamlaka ya Maji safi na usafi wa Mazingira SHUWASA, wakiongozwa na Mkuu wa Msafara Matha Urio,
Na Marco Maduhu, Shinyanga
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wamehitimisha ziara yao leo katika Mamlaka ya Majisafi na usafi wa mazingira Shinyanga (SHUWASA).
Baadhi ya watumishi kutoka Mamlaka hiyo ya Maji Moshi, walianza ziara yao jana iliyokuwa na lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika utendaji na SHUWASA.
Mkuu wa Msafara wa watumishi hao wa MUWSA Matha Urio, ambaye ni Afisa Mauzo Msaidizi, akizungumza leo mara baada ya kuhitimisha ziara hiyo, amesema imekidhi matakwa yao kwa asilimia 100.
"Kwa kweli katika ziara yetu hii tumejifunza mambo mengi sana, pamoja na kubadilishana uzoefu wa utendaji kazi kutoka kwa wenzetu wa SHUWASA, tumeona namna wanavyo fanya kazi, na kuhudumia wateja wao," alisema Urio.
"Tumetembelea kiwanda cha Jambo, ambaye ni mteja mkubwa wa Maji kutoka SHUWASA, na tumeona namna anavyozalisha bidhaa zake, na kupata huduma nzuri ya maji," aliongeza.
Naye, Afisa utumishi kutoka SHUWASA, Kambira Mtebe, alibainisha maeneo ambayo watumishi hao wa Mamlaka ya Maji Moshi (MUWSA) wametembelea, kuwa ni Mtambo wa kutibu Majitaka eneo la Nhelegani, Mtambo wa kutibu majisafi eneo Ning’hwa, Bwawa la Ning'wa, Tenki kuu la maji Old Shinyanga, pamoja na mteja mkubwa wa Kiwanda cha Jambo.
Pia, Mtebe amesema mbali na kutembelea maeneo hayo, wamejadiliana mambo mbalimbali ya kiutendaji, ili kuendelea kuboresha utoaji bora wa huduma kwa wateja.

Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa Ziara kwenye chanzo cha maji cha SHUWASA, katika Bwawa la Ning'wa lililopo Chibe Manispaa ya Shinyanga.

Baadhi ya watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA)wakiwa kwenye Kituo cha Mitambo ya kusafisha Maji na Kutibu , kutoka Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira SHUWASA, wakiongozwa na Mkuu wa Msafara Matha Urio.
Ziara ikiendelea katika Kituo cha Mitambo ya kusafisha Maji na Kutibu, cha Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira SHUWASA, Maji ambayo hutoka bwawa la Ning'wa.
Ziara ikiendelea katika Kituo cha Mitambo ya kusafisha Maji na Kutibu cha Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira SHUWASA.

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakipanda kwenye Tenki la Maji lilipo Oldshinyanga, ambalo SHUWASA hupokea maji kutoka mradi wa Ziwa Victoria chini ya KASHWASA, na kuwasambazia wananchi wa Shinyanga.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA), wakiwa juu ya Tenki la Maji Olshinyanga.

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA), wakiingia kwenye Kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakuu wa SHUWASA, wakiongozwa na mwenyeji wao Afisa Utumishi wa SHUWASA Kambira Mtebe, kulia.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA), wakiingia kwenye Kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakuu wa SHUWASA, wakiongozwa na mwenyeji wao Afisa Utumishi wa SHUWASA Kambira Mtebe.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA, wakiangalia Shughuli za uzalishaji bidhaa.

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA, wakisikiliza maelezo namna bidhaa zinavyozalishwa kwenye kiwanda hicho kutoka kwa Kisabo Kilala, ambaye ni Mdhibiti Ubora.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA, wakiangalia Shughuli za uzalishaji bidhaa.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA, wakiangalia Shughuli za uzalishaji bidhaa.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA, wakiangalia Shughuli za uzalishaji bidhaa.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA, wakiangalia Shughuli za uzalishaji bidhaa.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) wakiwa ndani ya kiwanda cha Jambo, ambao ni wateja wakubwa wa SHUWASA, wakipiga picha ya Pamoja mara baada ya kuhitimisha ziara yao ya siku mbili.

Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) ,wapiga Picha ya pamoja kwenye chanzo cha Maji cha SHUWASA katika Bwawa la Ning'wa lililopo Chibe Manispaa ya Shinyanga.
Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Moshi (MUWSA) ,wapigia Picha ya Pamoja kwenye chanzo cha Maji cha SHUWASA katika Bwawa la Ning'wa lililopo Chibe Manispaa ya Shinyanga.
Na Marco Maduhu-Shinyanga
Na Marco Maduhu-Shinyanga
Social Plugin