Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

CORONA YADAIWA KUPUNGUZA NGUVU ZA KIUME


Madaktari wamebaini kuwa virusi vipya vya Uviko-19/Corona vinaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.

Madaktari waliofanya utafiti huo kutoka Chuo Kikuu cha Miami nchini Marekani wameeleza kuwa athari hizo zinatokana na ukweli kwamba virusi hivyo vinaathiri zaidi mishipa ya damu hasa ile inayopeleka damu moja kwa moja kwenye uume.

Chanzo Mwananchi

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com