AJALI YA GARI LA JWTZ, LORI LA MIZIGO YAUA WATU 10 GEITA
Wednesday, August 18, 2021
Watu 10 wamefariki dunia na nane kujeruhiwa baada ya gari la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) likitoka Kahama kugongana uso kwa uso na gari la mizigo leo Jumatano 18, 2021 katika kijiji cha Ilalwe kata ya Bukombe wilayani Bukombe mkoani Geita.
Social Plugin