Waziri wa Madini Doto Biteko (katikati) akikabidhi cheti cha ushiriki wa Maonesho ya Biashara na Madini kwa Kaimu Meneja wa Benki ya Exim tawi la Shinyanga Bi. Sarah Titoi kiwa ni ishara ya kutambua mchango na ushiriki wa benki hiyo kwenye maonesho hayo yaliyohitimishwa hivi karibuni mkoani Shinyanga. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Philemon Sengati (kushoto) na Mwenyekiti wa Tume yaMadini Tanzania Prof .Idris Kikula.
Social Plugin