Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

JENGO LA KUDHIBITI MIFUMO LA KITUO CHA KUPOKEA NA KUSAMBAZA UMEME CHA MSAMVU - MOROGORO LATEKETEA KWA MOTO

Ofisi za Kituo kikubwa cha kupokea na kusambaza umeme Msamvu - Morogoro limewaka moto na kusababisha Mkoa wa Morogoro kukosa umeme.

Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, lakini taarifa ya TANESCO imeeleza kuwa wataalamu  na mafundi wanaendelea na kazi ya kuhakikisha huduma ya umeme inarejea kwa haraka. 





Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com