Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MCHAMBUZI NGULI WA SOKA MWALIMU KASHASHA AFARIKI DUNIA

Mwalimu Theogenes Alex Kashasha enzi za uhai wake
Mchambuzi maarufu wa soka, Mwalimu Theogenes Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19, 2021 akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Kairuki mkoani Dar es Salaam.

Kashasha alikuwa mtumishi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hadi umauti ulipomfika.

Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com