Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MCHEZAJI WA MANCHESTER CITY MENDY ATUHUMIWA KWA MAKOSA YA UBAKAJI








Mchezaji wa Manchester City na timu ya Taifa ya Ufaransa Benjamin Mendy amekutwa na tuhuma za ubakaji na makosa ya unyanyasaji wa kijinsia hivyo timu yake imeamua kumsimamisha kucheza mpira hadi pale upelelezi utakapo malizika.




Mchezaji huyo ambaye ameitumikia klabu hiyo mechi za ligi 78 tangu aliposajiliwa akitokea kwenye klabu ya Monaco ya nchini Ufaransa mwaka 2017 hivyo ataukosa mchezo dhidi ya Arsenal Jumamosi kwenye ligi kuu ya Uingereza.

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com