MHE. RAIS SAMIA AHUDHURIA KUAPISHWA RAIS MPYA WA ZAMBIA
Tuesday, August 24, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kumpongeza Rais Mpya wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, mara baada ya kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia katika Uwanja wa Taifa wa Mashujaa (National Heroes Stadium) Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin