MWALIMU AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUBAKA NA KUSAMBAZA VIRUSI VYA UKIMWI KWA BINTI
Tuesday, August 03, 2021
Mwalimu wa shule ya msingi Radienya, Wilfred Nyaroko Oliech, mkazi wa Mtaa wa Obwere wilayani Rorya mkoani Mara, amefikishwa mahakamani kwa makosa mawili ikiwemo kubaka na kusambaza maambukizi ya Virui vya Ukimwi kwa binti mwenye umri wa miaka 15 jina limehifadhiwa.
Social Plugin