Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri
**
Mwanzilishi na Mwenyekiti wa Makampuni ya ASAS, Alhaj Faraj Ahmed Abri, amefariki dunia hii leo Agosti 13, 2021 Jijini Dar es Salaam, na familia yake imeomba waombolezaji wasiende nyumbani na atazikwa hii leo katika Makaburi ya Kisutu.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka ndani ya familia ya ASAS imeeleza kwamba, njia ya teknolojia za habari itumike katika kutoa pole na shughuli zingine za msiba na si kukusanyika nyumbani.
Social Plugin