Picha : ASKOFU GWAJIMA AKIWASILI VIWANJA VYA BUNGE KUHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE YA HAKI KINGA NA MADARAKA
Monday, August 23, 2021
Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima amefika Bungeni Dodoma, ikiwa ni kuitikia wito wa Spika uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma mbalimbali ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin