Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

MBUNGE JERRY SLAA AFIKA BUNGENI KUHOJIWA NA KAMATI YA BUNGE YA MAADILI

 Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mhe. Jerry Slaa amewasili katika viwanja vya Bunge kuitikia wito wa Spika Ndugai uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma  zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.



Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com