Habari Mpya

6/recent/ticker-posts

Picha : MISA YA MAZISHI YA DAVID NKULILA KATIKA KANISA KATOLIKI LA MAMA MWENYE HURUMA NGOKOLO

Mwili wa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Shinyanga David Nkulila (57) aliyefariki dunia Agosti 23,2021 umewasili katika Kanisa Katoliki la Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga kwa ajili ya Misa ya kumwombea marehemu.

Mazishi yanafanyika leo mchana katika makaburi ya Mageuzi Ndembezi Mjini Shinyanga

Soma pia:

Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa

Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com