SERIKALI YAPUNGUZA TOZO ZA MIAMALA YA SIMU...VIWANGO VIPYA KUTANGAZWA KESHO
Tuesday, August 31, 2021
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba
Wizara ya Fedha na Mipango kupitia kwa Waziri wake Dkt. Mwigulu Nchemba, imepunguza tozo kwenye miamala ya simu kwa asilimia 30.
Kwa upande wa tozo za miamala ya mtandao mmoja kwenda mwingine zimepunguzwa kwa asilimia 10. Viwango vilivyopunguzwa vitatangazwa rasmi kesho Septemba 1, 2021.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin