CHARAHANI ATEULIWA KUGOMBEA UBUNGE JIMBO LA USHETU
Friday, September 10, 2021
Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa imempitisha Emmanuel Charahani kuwa mgombea Ubunge jimbo la Ushetu katika uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo ambaye pia alikuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Elias Kwandikwa kufariki dunia.
Download/Pakua/Install App ya Malunde 1 blog Google Playstore Bofya Hapa
Je, unayo taarifa ya kusisimua ambayo ungependa tuichapishe? Tafadhali, wasiliana nasi kupitia malundekadama@yahoo.com
Social Plugin